KOCHA wa Manchester United,
Sir Alex Ferguson ametangaza kustaafu kufundisha soka ikiwa ni miaka 27 tangu
aanze kuifundisha timu hiyo mwaka 1986.
Ferguson anaondoka United akiwa amebeba mataji 30 huku
pambano la mwisho la msimu huu dhidi ya West Brom likiwa la 1,500 tangu aanze
kuifundisha Manchester United.
Bado haijajulikana ni kocha gani atarithi
mikoba ya Ferguson ingawa inatajwa kuwa kocha David Moyes wa Everton anapigiwa
chapuo la kuwa kocha mpya wa timu hiyo.Ferguson anaondoka United
akiwa amebeba mataji 30 huku pambano la mwisho la msimu huu dhidi ya West Brom
likiwa la 1,500 tangu aanze kuifundisha Manchester United.
Moja ya kombe kubwa
ambayo Sir Alex Ferguson aliyapata kwenye msimu wa mwaka 1999 kwenye trebo
ambayo alinyakuwa makombe yote matatu likiwemo na Ligi kuu Uingereza.Mpaka sasa inawezekana mtu
atakaye chukua Viatu vyake Old Trafford atakuwa Chini yake pamoja na kutangaza
kustaafu kuifundisha timu hiyo ya mashetani wekundu, Wengi wanampa nafasi kocha wa Everton David Moyes
Moja ya kombe kubwa ambayo Sir Alex Ferguson aliyapata kwenye msimu wa mwaka 1999 kwenye trebo ambayo alinyakuwa makombe yote matatu likiwemo na Ligi kuu Uingereza.Mpaka sasa inawezekana mtu atakaye chukua Viatu vyake Old Trafford atakuwa Chini yake pamoja na kutangaza kustaafu kuifundisha timu hiyo ya mashetani wekundu, Wengi wanampa nafasi kocha wa Everton David Moyes
JOSE MOURINHO -Kuchagua moja kwenda Old Trafford au
Stamford Bridge!DAVID MOYES - Kocha wa Everton anategemewa na wengi
kujiunga na Klabu hiyo ya mashetani wekunduJURGEN KLOPP - Mtu wa Tabasamu huyu ni kutoka Bundesliga,
Klopp's Borussia DortmundMICHAEL LAUDRUP ARSENE WENGEROLE GUNNAR SOLKSJAERRYAN GIGGS- Veteran wa United.ERIC CANTONAGARY NEVILLEJOACHIM LOEWFABIO CAPELLO LAURENT BLANC JUPP HEYNCKES
No comments:
Post a Comment