ARSENAL YAISHUSHIA KIPIGO WIGAN NA KUIFANYA KUSHUKA DARAJA
Arsenal leo imeishusha Wigan baada ya kuifunga Wigan Athletic bao 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Emirates
Kwa matokeo hayo Arsenal imeingia kwenye timu nne bora
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Podolski dakika ya 11 na 68, Walcott dakika ya 62, na Ramsey dakika ya 71 lile la Wigan lilifungwa na Maloney dakika ni 45'.
No comments:
Post a Comment