Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 9, 2013

WACHEZAJI WANNE WA AZAM WALIOKUWA WANATUHUMIWA KWA RUSHWA WAKO SAFI

WAKATI TFF ikamtaka Nsa Job kuthibitisha tuhuma za Rushwa alizozitoan kwenye kipindi cha Amplifier kinachorushwa na Clouds Radio  Wachezaji wanne wa Azam FC ambao walisimamishwa kwa tuhuma za kupokea Rushwa, wameachiwa huru na TAKUKURU wilaya ya Temeke.

Deo Munishi, Erasto Nyoni, Said Morad na Aggrey Morris sasa wapo huru kujiunga na klabu ya Azam FC, timu hiyo pia imetoa taarifa za kuwapokea wachezaji hao kwa mikono miwili baada ya tuhuma hizo kufutwa.
“Hivyo wachezaji hao wanakaribishwa rasmi kurudi kikosini AZAM FC kwa ajili ya kujiunga na mazoezi na wachezaji wenzao.” Taarifa katika mtandao wa Azam FC ilisema.

No comments:

Post a Comment