LULU KATIKA PICHA MBILI TOFAUTI ZILIZOACHA MASWALI KWA WENGI SIKU YA KUMUENZI KANUMBA
Lulu akiwa ametinga kivazi cha kimitego baada ya misa ya kutoka kwenye misa ya kumuenzi marehemu Kanumba ikiwa ni masaa machache tu baada ya kutoka katika kaburi la marehemu Kanumba akiwa amevaa gauni maridadi sare na mama Kanumba

Post a Comment