Joniko Flower na akisindikizwa na Sam Mapenzi pamoja na Sony Masamba kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band katika kiwanja chao cha Nyumbani cha Thai Village Masaki jijini Dar.  Kuanzia wiki hii watakuwa wakipiga show mara mbili Ijumaa ndani ya Thai Village  na Jumapili watakuwa katika Kiota cha Escape 11 endelea kuperuzi mitandao tutakujuza zaidi.
 Shabiki wa Skylight Band akicheza miondoko ya ‘Wachuma chuma’ sambamba na Joniko Flower, staili mpya walioyotokanayo Mwanza hivi karibuni.
Sony Masamba akiwajibika kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band wanaburudika vilivyo.
Fans wa Skylight Band mdogo mdogo wakijimwaga kwenye Dancing Floor.
Aneth Kushaba AK47  katika hisia kali ndani ya Kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kulia ni Mary Lukas.
It’s Reggae, Raagga and Dance Hall time…..Aneth Kushaba AK 47 akifanya yake na shabiki wake.
Picha juu na chini Aneth Kushaba AK 47 akiwachizisha mashabiki wa Skylight Band.
Party People…Raha za Skylight Band hizo full kujiachia.
Madiva wa Skylight Band wakiwajibika kutoa burudani yenye ubora.
Sam Mapenzi akicheza na shabiki wake.
Sam Mapenzi akiwarusha mashabiki wa Skylight Band.
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukicheza nyimbo inayobamba kwenye vitu vya Televisheni na Radio ‘Carolina’.
Joniko Flower akitunza na Pedeshee Bamutu na mapesa yake.
Sehemu ya Familia ya Skylight Band.
Picha juu na chini Umati wa washabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara na Mary Lukas.
Mdau Aziz Hunter akishow love na dada zake.
Ben Kinyaiya na Aneth Kushaba AK47.