MANCHESTER UNITED YAIFUNGA STOKE CITY 2-0 KWENYE LIGI YA UINGEREZA, RVP AANZA KUONDOA UKAME WA MABAO
Mfungaji wa bao la kwanza Michael Carrick na Robin van Persie mfungaji wa bao la pili wakipongezana
Carrick akinyoosha mikono juu baada ya kuziona nyavu mapeeeeema..
Michael Carrick wa Manchester Unitedakishangilia
Ni sisi tuu na Kombe...
Hernandez wa Manchester United akiteta baada ya Ryan Shawcross kuumia

Patashika Charlie Adam na Wayne Rooney
Robin van Persie wa Manchester United akichonga penati ambayo imezaa bao la 2 na la ushindi
Nawavulia kofia United ni nyie tuuuu mwaka wenu huu...
Patashika Charlie Adam na Wayne Rooney
Kuumia kwenye mchezo ni jambo la kawaida
Goalbound? Michael Carrick connects with the ball in the fourth minute
Phil Jonesakigombea mpira na mchezaji wa Stoke
Mmoja anapigania nafasi ya kutwaa kombe mmoja anapigania kutotelemshwa kwenye mstari wa kushuka daraja
VIKOSI:
Stoke: Begovic, Cameron (Jerome, 71), Huth, Shawcross, Wilkinson, Shotton, Whelan, Nzonzi, Adam, Jones (Crouch, 84), Walters (Owen, 77)
Subs not used: Sorensen, Palacios, Whitehead, Kightly
Booked: Jerome
Manchester United: De Gea, Evra, Jones, Ferdinand, Vidic, Valencia, Carrick, Kagawa, Rooney, Hernandez (Welbeck, 77), Van Persie
Subs not used: Lindegaard, Evans, Smalling, Buttner, Giggs, Cleverley,
Goals: Carrick 4, Van Persie 66
Booked: Valencia
Ref: Jon Moss
Att: 27,191
Subs not used: Sorensen, Palacios, Whitehead, Kightly
Booked: Jerome
Manchester United: De Gea, Evra, Jones, Ferdinand, Vidic, Valencia, Carrick, Kagawa, Rooney, Hernandez (Welbeck, 77), Van Persie
Subs not used: Lindegaard, Evans, Smalling, Buttner, Giggs, Cleverley,
Goals: Carrick 4, Van Persie 66
Booked: Valencia
Ref: Jon Moss
Att: 27,191
Post a Comment