Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, April 12, 2013

NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE FC BAYERN USO KWA USO NA BARCELONA


Ratiba ya nusu fainali ya UEFA imepangwa na sasa Dortmund kutoka Ujerumani itakwaana na Real Madrid kutoka Hispania. Dortmund iliitoa Malaga katika hatua ya robo fainali, huku Real Madrid ikiitoa Galatasaray ya Uturuki
Bayern ikipambana na Barcelona, Bayern iliitoa Juventus ya Italia huku Barcelona ikiitoa PSG kwa goli la ugenini.

Katika Europa ndogo Fenerbahce v Benfica  na FC Basel v Chelsea.
Unadhani mchezo gani utakuwa wa kuvutia zaidi?

No comments:

Post a Comment