Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, April 11, 2013

LADY MADDONA ATUHUMIWA KWA KUTOSEMA UKWELI


Serikali ya Malawi imemshutumu muimbaji mashuhuri Maddona kwa kutia chumvi kuhusu  kazi yake ya msaada wa kibinadamu nchini humo na kutaka kupewa huduma maalum wakati wa ziara yake nchini humo  wiki iliyopita.

Madonna akiwa na mtoto aliyemchukua kumlea kutoka Malawi (Foto AFP)
Madona akiwa amembeba mtot aliyemchukua kulea toka Malawi
 

No comments:

Post a Comment