Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, April 11, 2013

DIAMOND PLATINUM, HUYOOOOOOOOOOOO DRC-CONGO


Msanii wa kizazi kipya, Naseeb Abdul a.k.aDiamond Mei 11 mwaka huu amealikwa kwenye tamasha la Uvira, Litakalofanyika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Tamasha hilo limepangwa kufanyika katika ukumbi wa De L' Unite uliopo katikati ya jiji la Kongo DRC. Akithibitisha mwaliko huo Diamond amefurahi kualikwa ambapo atakutana na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali. Pia amesema kuwa hatawaangusha mashabiki wake huko na pia amesema kuwa tayari ameanza kuandaa staili ya aina yake mpya ya kuwaburudisha mashabiki kisawasawa.

Alisema " Kama kawaida yangu huwa sibahatishi katika kazi zangu, hivyo najipanga kuandaa Staili mpya ili kuwaburudisha mashabiki wangu.
Diamond siku hiyo hatakuwa peke yake atakuwa na Crew yake.

No comments:

Post a Comment