RASMI ALLAN OKELLO NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC
-
KLABU ya Yanga SC imemtambulisha winga wa Kimataifa wa Allan Okello (21)
kuwa mchezaji wake mpya akijiunga na Wana Jangwani hao kutoka Vipers FC ya
kwao.
2 hours ago
Post a Comment