Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, April 15, 2013

DAVIS LUIZ ASEMA HANA KINYONGO NA SERGIO AGERO KUTOKANA RAFU MBAYA ALIYOFANYIA


Big hitter: Sergio Aguero (top) catches David Luiz with both feet during the Wembley semi-finalRafu mbaya ambayo refa Foy hakuiona ya miguu miwili ni pale Segio Aguero wa Man City alipomrukia David Luiz kwa miguu miwili, rafu ambayo ilistahili Kadi Nyekundu. 


Lakini Luiz amesema hana kinyongo kwa rafu hiyo kwani kawaida Aguero si Mchezaji mchafu.

Nae Benitez, ambaye Timu yake Chelsea sasa ina nafasi moja tu iliyobaki kutwaa Kikombe Msimu huu ambayo ni kupitia EUROPA LIGI ambako wako Nusu Fainali na watacheza na Basel FC hapo Aprili 25, amesema mkazo wao sasa ni kwenye BPL, Barclays Premier League, ambako nia yao ni kumaliza kwenye 4 bora ili Msimu ujao wacheze Ulaya.

Aguero ameponea chupu chupu baada ya kumkanyaga David Luiz kwa miguu yote 2 na refa Foy bila kumuona.

Angalia hapa..

Aguero akiacha mchezaji Luiz akijiuguza bila kumpa msaada wa kumnyanyua juu na refa Chris Foy kushindwa kutoa adhabu kwa rafu hiyo ambayo hata refa washika kibendera walishindwa kutoa ushirikiano hapo.

No comments:

Post a Comment