Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 30, 2013

ASTON VILLA YAIFUNGA SUNDERLAND 6-1 JANA USIKU BENTEKE APIGA HAT TRICK


Aston Villa wakiwa kwao kucheza Sunderland mchezaji wao Ron Vlaar amewapachikia bao la kwanza katika dakika 31 dhidi ya Sunderland lakini ndani ya dakika chache kama 2 bao likarudishwa na mchezaji Danny Rose dakika ya 32 na kufanya 1-1 dhidi ya wenyeji Aston Villa walio nafasi ya 17 wakiwa na alama 34 wakiwa wanaangalia mstari wa kushuka daraja na wanaoongozwa na Kocha Paul Lambert. Dakika ya 38 Andreas Weimann akawafungia bao jingine la 2 dhidi ya Aston Villa kwa kupewa pasi safi na mwenzake na hatimaye kugeuka haraka na kuachia shuti kali ambalo limempita pembeni kipa wa Sunderland na kuishilia nyavuni. Benteke akafunga bao jingine dakika 73 na Agbonlahor akamalizia bao la mwisho la 6 dakika ya 88. Ushindi huu unamfanya Aston Villa apande mpaka nafasi ya 16 chini ya Sunderland wenye alama hizo hizo 37 na Newcastle akishikilia nafasi ya 17.

Kipindi cha pili dakika ya 55 benteke akawapatia bao la 3 ambalo kipa wa Sunderland ametema na bao ambalo walinzi wa sunderland waliona ni la kuotea kumbe ndivyo sivyo, na kisha Christian Benteke kufunga bao jingine dakika ya 59 kuondoa utata na kufanya 4-1 dhidi ya Sunderland wanaoongozwa na kocha mgeni na mwenye makeke mengi.
Ready for business: Paolo Di Canio greets Paul Lambert at the start of the game
Kocha wa Sunderland Paolo Di Canio akisalimiana na kocha Paul Lambert kabla ya mtanange kuanza
Respectful: Di Canio applauds for Stiliyan Petrov at the 19th minute mark
Di Canio akiangalia kama vijana wake watampatia ushindi wa mfululizo tena leo hii wakicheza na Aston Villa ambao wapo chini nafasi ya 17 na wenye alama 34 chini ya Sunderland wenye alama 37 na nafasi ya 15 kwenye msimamo wao wa ligi kuu England

Ron Vlaar akiiwasha bao Sunderland

Danny Rose akisawazisha bao dakika ya 32 na kufanya 1-1


Andreas Weimann akifunga bao la pili.

Weimann akishangilia
Benteke akifanya kutupia kwa kichwa kipindi cha pili
Chezea Benteke wewe!!!Paul Lambert
Paul Lambert, Paolo Di Canio
Dismissal: Stephane Sessegnon's red card rubbed salt into Sunderland's wounds
Stephane Sessegnonakipewa kadi nyekundu

Paolo Di Canio akikata tamaa baada ya kushindiliwa mabao mengi leo, na yeye leo kaliwa!!

Ron Vlaar

Andreas Wiemann akiwapa bao Villa na kuwa 2-1

Tushangilie kwa ushindi tumetoka chini, kidogo tuporomokeeeeeeeeeeeeeee.....
VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Lowton, Vlaar, Baker, Bennett, Westwood, Delph, Sylla, Weimann, Agbonlahor, Benteke (Bent 78).
Subs: Given, Holman, Lichaj, Bowery, N’Zogbia, Bannan.
Goals: Vlaar 31, Weimann 38, Benteke 55, 60, 73, Agbonlahor 88.
Sunderland: Mignolet, O’Shea, Cuellar, Rose, Bardsley, N’Diaye, Larsson (McClean 61), Gardner (Vaughan 87), Sessegnon, Johnson, Graham.
Subs: Westwood, Kilgallon, Colback, Mangane, Mandron.
Goal: Rose 33.
Booked: Cuellar, Rose.
Sent off: Sessegnon 70.
Ref: Probert.

No comments:

Post a Comment