Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 19, 2013

UCHAGUZI WA CHANETA WAPIGWA KALENDA

Katibu wa Chama cha Netboli (CHANETA) Rose Mkisi

Baraza la michezo Taifa BMT limetangaza kupiga kalenda uchaguzi wa CHANETA badala ya kufanyika machi 23 ,sasa utafanyika April 20 mwaka huu mkoani Dodoma kutoka na ukata wa fedha.

Taarifa ya katibu mkuu wa BMT HENRY RIHAYA anasema kutokana ukosefu huo wa fedha na BMT inajipanga hadi kuhakikisha ifikapo April 20 uchaguzi utafanyika,na suala la usahili litafanyika April 18 na pingamizi April 19 mwaka huu mkoani DODOMA.

No comments:

Post a Comment