Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 19, 2013

PAPA FRANCIS I ATAWAZWA RASMI LEO MJINI ROMA


Papa Francis 

Sherehe za kumtawaza kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, zimefanyika katika viunga vya Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Roma, ikiwa ni ishara ya kuanza rasmi kwa shughuli zake za Papa.
Mapema, Papa Francis alizunguka katika viunga hivyo akiwa katika gari la wazi, akiteremka kuwabariki mahujaji waliofika hapo.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki, amewataka viongozi na watu wote duniani kuwalinda wanyonge na watu maskini. Watu wapatao laki mbili (200,000) wamehudhuria sherehe hizo.

Papa Francis alichaguliwa na mkutano wa Makadinali wiki iliyopita kuchukua nafasi ya Papa Benedict XVI aliyetangaza kujiuzulu wadhifa huo tarehe 28 Februari 2013. 

A crimson banner bearing the papal seal was draped over the palace balcony as Benedict told crowds he was 'simply a pilgrim about to start his last journey on Earth'Papa Benedict amekuwa papa wa kwanza kujiuzulu katika miaka 600 ya historia ya Kanisa Katoliki. Alitangaza kujiuzulu mwezi uliopita akitaja sababu za umri wake wa miaka 85 na kwamba asingeweza kutekeleza kikamilifu majukumu yake.
Papa huyo wa kwanza kutoka bara la Amerika, anaonekana kuwa na mtazamo tofauti na watangulizi wake.
The Fisherman's Ring is placed on the finger of Pope Francis by Cardinal Angelo Sodano, Dean of the College of CardinalsPicture: REUTERS/Stefano Rellandini
A young priest punches the air as he reaches his seat for the inauguration of Pope Francis in St Peter's Square at the Vatican

Frenzy: This handout picture released by the Vatican press office shows Pope Francis (centre) greeting faithful after a mass at St Anna Church today, ahead of his address from his studio window
Greetings: Pope Francis waves before giving his Angelus prayer from his studio overlooking St Peter's Square
In their thousands: Visitors gather in St Peter's Square at the Vatican for the Angelus prayer by Pope Francis
Full: Crowds pack St. Peter's square as Pope Francis delivers his Angelus prayer from the window of his studio
Onlookers: People gather at St Peter's Square at the Vatican as they wait for the Pope to lead his first prayer

Passing time: A Mexican mariachi band play as they awaited the blessing of newly elected Pope Francis

Excited: Nuns sat together as they awaited the blessing of newly-elected Pope Francis in St Peter's Square

Attendance: Crowds gather on the Via della Conciliazione outside St Peter's Square as they wait for the Pope

No comments:

Post a Comment