Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, March 13, 2013

TIMU ZA NEW HABARI CORPORATION ZATOLEWA NSSF CUP

New Habari Queens
 
 

wachezaji wa timu ya Habari FC ya Kampuni ya New Habari (2006) Limited wakijadiliana kabla ya mpambano na TBC wa michuano ya NSSF CUP uliochezwa katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ualimu (DUCE) Chang'ombe Dar es Salaam. Habari FC waliotolewa kwa matuta na TBC baada ya Dakika tisini kumalizika kwa kufumgana bo moja kwa moja. ambapo TBC walipata penalti 3 kwa moja


Wachezaji wa TBC wakisalimiana na Habari FC kabla ya mpambano kuanza

Wachezaji wa TBC wakisalimiana na Habari FC kabla ya mpambano kuanza


Mshambuliaji wa timu ya TBC Ahmed Salim akijaribu kuwatoka wachezaji wa timu ya Habari FC


Mshambuliaji wa tim,ya Habari FC Kulwa Karedia akijaribu kutoka beki wa timu ya TBC,Mbozi Katala wakati wa mchezo uliofanyika katika Uwanja wa DUCE Chang'ombe Dar es Salaam

 


Beki wa timu ya New Habari, Mohamed Mharizo (kulia) akimzuia mshambuliaji wa timu ya TBC


kipa wa timu Habari FC, Shadrack Kilasa akiokoa moja ya hatari wakati wa mchezo huo

No comments:

Post a Comment