PATA UHONDO WA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MASHABIKI WA SOKA TABORA WAKIFURAHIA RHINO RANGERS KUKATA TIKETI YA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO
Mmoja kati ya wachezaji wa Rhino
akibebwa na washabiki baada ya mechi kali dhidi ya Polisi Dom
Baadhi ya mashabiki wa Rhino wakiwa jukwaani wakishangilia timu yao katika mtanange kati ya Rhino na Polisi Dom.
Baadhi ya watangazaji wa Radio CG FM ya hapa mkoani Tabora wakitangaza mechi kati ya Rhino na Polisi Dodoma ambapo Rhino iliicharaza Polisi bao moja kwa sifuri katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora

Post a Comment