Hapa Fergie akisalimiana na kibonzo cha Man Utd
kabla ya mechi dhidi ya Norwich City kuanza, ambapo United ilishinda mabao
4-0.
Wayne Rooney akifumua shuti langoni kwa Norwich
City wakati wa mechi ya Ligi Kuu
Mfungaji wa mabao matatu 'hat-trick' Shinji
Kagawa akiwajibika dimbani katika mtanange huo.
Kagawa akishangilia moja ya mabao yake
Mlinda mlango wa Norwich, Bunn kulia akishindwa
kuzuia mpira uliopigwa na Kagawa kushoto.
Wayne Rooney akimtoka beki wa Norwich
City.
Hakuna kuremba, hapa kazi tu kudadadeki
Rooney akimtambuka mlinda mlango wa Norwich
City
Rooney akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa
Norwich City.
Robin van Persie, akiwa chini huku mlinda mlango
wa Norwich City akiugulia maumivu baada ya kugongana.
No comments:
Post a Comment