Mabondia Japhet Kaseba na Maneno Osward watunishiana misuli kila mmoja ajinadi kutwanga mwenzake |
Promota Pendo Njau akiwa amewashikilia mikono mabondia
Homa ya pamabano la ngumi kati ya Japhet Kaseba na Maneno Osward imeendelea kupanda baada ya leo kupima uzito tayari kwa mpambano wao utakaochezwa kesho kwenye ukumbi wa DDC Magomeni Kagera
Kila Bondia amejinadi kumtwanga mwenzako bila kusema itakuwa kwenye raundi ya ngapi
No comments:
Post a Comment