Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, March 1, 2013

MAZOEZI YA YANGA USIPIME, BRANDTS AZIDI KUWAPA MAZOEZI YA KUJENGA USTAHIMILIVU ILI WAISHUSHE TOTO DARAJA VIZURI




TIMU ya Yanga leo imefanya mazoezi ya kufa mtu huku wachezaji Athuman Idd na Jerryson Tegete wakiwa nje kutokana na afya zao kuwa dhoofu.
Wachezaji hao leo wameshindwa kufanya mazoezi huku Kavumbagu uongozi  ukiwa haujui kwanini hakutokea.
\Timu hiyo imefanya mazoezi ya kujenga ustahimilivu kwenye uwanja wa Bora Kijitonyama kikiwa na wachezaji 20, chini ya Kocha wao mkuu Ernie Brandts
Wiki hii Yanga haina mchezo wowote wa ligi hivyo wanajiandaa na mchezo dhidi ya Toto African utakaochezwa Machi 9, mwaka huu uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment