Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari
2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya
Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo
wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia
ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari tanzania (MOAT) ambaye
pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPP Ltd, Regnard Mengi. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment