Luka Modric akishangilia na Sergio Ramos, baada
ya beki huyo kutokea benchi na kuipatia Madrid bao la ushindi.
Lionel Messi akifunga bao pekee la FC
Barcelona, ilipoumana na Madrid kwenye dimba la Santiago Bernabeu jana, ambapo
Madrid ilishinda 2-1.
Messi akishangilia bao la kusawazisha, kabla ya
Sergio Ramos kuifungia Madrid bao la pili na Barca kulala kwa mara ya pili
mfululizo.
Cristiano Ronaldo akisikitika kukosa bao, baada
ya shuti lake la 'free kick' kugonga mwamba na kurudi uwanjani
No comments:
Post a Comment