AZAM FC KIBARUANI LEO LIBERIA

Kikosi cha Azam
 
TIMU ya Azam leo inaingia uwanjani kumenyana na Barrack 2 ya Liberia mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani.
Azam walikata tiketi ya kucheza raundi ya pili kombe la Shirikisho baada ya kuiondoa Al Nasir ya Sudan Kusini kwa mabao 8-1.

No comments