TENGA KUKUTANA NA WAANDISHI MUDA MFUPI UJAO
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga
atakutana na waandishi wa habari saa 6
kamili mchana. Mkutano huo utafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Post a Comment