![]() |
| Mazoezi ni muhimu ili kuhimili mikikimikiki ya ligi kuu |
![]() |
| Kocha wa African Lyon Pablo Celez akiongea na waandishi wa habari leo asubuhi |
![]() |
| Lazima mruke hadi muwe fiti sana |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya African Lyon wakiwa kwenye mazoezi uwanja wa TCC Chang'ombe leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na ligi ya Vodacom msimu wa 2012/2013 |




Post a Comment