Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, August 10, 2014

COMMUNITY SHIELD: ARSENAL 3 vs 0 MANCHESTER CITY...WEMBLEY

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia baada ya kupata bao
Santi Cazzorla ndie aliyeanza kuwafungulia lango Arsenal katika dakika ya 22 kipindi cha kwanza baada ya kulishwa mpira na Jack Wilshere na kufunga  bao la kwanza  na kufanya 1-0 dhidi ya City.




Bao la pili lilifungwa na Aaron Ramsey katika dakika ya 42 baada ya Mabeki wa Manchester City kufanya Uzembe wa Ukabaji na hatimae Aaron Ramsey kufunga bao hilo akipewa pasi na Yaya Sanogo. AlexisKocha wa Man City hoi katika kipindi cha kwanza, Anapumua kwa shida!! 2-0 alifungwa katika kipindi cha kwanza..3-0 Arsenal wanapata bao kupitia kwa mchezaji wake Olivier Giroud katika kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment