Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, December 17, 2014

PIRLO AWA MCHEZAJI BORA WA MWAKA SERIE A, NI MIAKA 3 MFULULIZO, ANTONIO CONTE NAE ACHAGULIWA REFA BORA.

Andrea Pirlo, mwenye Miaka 34, ameteuliwa kuwa ndie Mchezaji Bora wa Mwaka huko Italy na hii ni mara ya 3 mfululizo kutwaa Tuzo hiyo.
Pamoja na Pirlo, Wachezaji wenzake 6 wa Klabu yake Juventus wamejumuika nae kuunda Timu Bora ya Msimu ya Serie A.
Pirlo alitajwa kuwa ndie Mchezaji Bora hapo Jana kwenye Hafla iliyoandaliwa na Chama cha Wanasoka wa Italy.


Kocha  Antonio Conte(kulia) akichekelea baada ya kuchaguliwa kocha bora

Mchezaji wa zamani wa Manchester City  Tevez nae alikuwepo kwenye sherehe hizo huko Milan

Anayewindwa na Manchester United  Arturo Vidal nae alikuwepo

No comments:

Post a Comment