Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, May 1, 2013

REDDS MISS NYAMAGANA 2013 MWANZA WAANZA MCHAKATO


 
Kumekucha....Redds Miss Nyamagana 2013 mchakato umeanza...shindano kufanyika Jumamosi ya tarehe...11/05/2013 JB Belmont Hotel Mwanza..Show nzima Itasimamiwa na mchekeshaji Zembwela..huku burudani ikikamilishwa na Recho kutoka THT.... Warembo Zaidi ya 20 watapanda jukwani... wakiwa na hamu sio tu kulichukua taji la Miss Nyamagana lakini pia Taji la Miss Tanzania 2013/14. Tiketi zitauzwa mapema, wahi tiketi yako.. kwani ni chache mno!! Karibu....

No comments:

Post a Comment