Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania
ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea kesho (Februari 26 mwaka huu) kwa mechi
moja itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam.
Mechi itazikutanisha timu za Azam
inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 37 dhidi
ya Ashanti United iliyoko nafasi ya 12 kwa pointi zake 14.
No comments:
Post a Comment