
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo
Bi.Juliana Yassoda akiwa na Bondia wa Dunia wa uzito wa juu Francois Botha
alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar
es salaam kwa ajili ya kuzungumzia masuala ya mchezo wa ndondi utakaofanyika 30
Agosti mwaka huu katika ukumbi wa Diamond.

Bondia wa Dunia wa uzito wa juu Francois Botha akionyesha
jinsi ya kupambana kulia ni Yasini Abdalla Rais wa Shirikisho la ndondi nchini
,kushoto ni mdau wa ndondi , uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo
jijini Dar es salaam.

Bondia wa Dunia wa uzito wa juu Francois Botha akionyesha
mmoja ya mkanda alioishinda kwa muuandaaji wa pambano hilo J Msangi,kushoto ni
Rais wa Shirikisho la Ndondi Howard Goldberg katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam

Bondia wa Dunia Francois Botha akiwa na muuandaaji wa
pambano hilo J Msangi,kushoto ni Rais wa Shirikisho la Ndondi Howard Goldberg
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es
salaam.(Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)
No comments:
Post a Comment