NA BIN ZUBEIRY BLOGSPOT
Kocha mpya
wa Yanga, Ernstus ‘Ernie’ Wilhelmus Johannes Brandts, amesaini mkataba wa mwaka
mmoja na klabu hiyo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano uliofanyika
makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Upande
wa Yanga, uliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu, Clement Sanga ambaye
alishuhudiwa na viongozi wengine wa klabu hiyo, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji,
Mussa Katabaro, Katibu Mkuu, Lawrence Mwalusako na Majjid Suleiman, mmoja wa
watu muhimu kwenye klabu hiyo. Habari inakuja... | | | | |
|
| | |
|
No comments:
Post a Comment