Ukiacha
Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON
U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine.
Uteuzi huo
umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi
wakuu wa TFF na wanafamilia wengine ambao kwa pamoja watafanya kazi ya kuandaa
michuano hiyo itakayofanyika Tanzania mwaka 2019.
Wakati jina
namba moja ni Mwenyekiti wa kila kamati ndogo wajumbe wengine katika kamati
hizo ni kama ifuatavyo:
Miundombinu
(Infrastructure)
1. Paul
Makonda (Mwenyekiti)
2. Yusuph
Singo
3. Sunday
Kayuni
4. Leslie
Liunda
5. Nassoro
Idrissa
6. Mohamed
Kiganja
7. Mhandisi
Davis Shemangale
Masoko na Habari
(Marketing, Commercial and Media)
1. Kelvin
Twissa (Mwenyekiti)
2. Angetile
Osiah
3. Dk.
Hassan Abbas
4. Dk.
Omari Swaleh (Chuo Kikuu cha Mzumbe)
5. Iman
Kajula
6. Tido
Mhando
7. Head of
Marketing – NMB
Fedha na Mipango
(Finance and Planning)
1. Doto
James (Mwenyekiti)
2. Mohamed
Dewji
3. Dk. Seif
Muba
4. Bernard
Lubogo
5. Paul
Bilabaye
6. Jacquelline
Woiso
7. Cornel
Barnabas
Usafiri na Malazi
(Transport and Accommodation)
1. Mhandisi
Ladislaus Matindi (Mwenyekiti)
2. Abubakar
Bakhresa
3. Aziz
Abood
4. Alhaj.
Ahmed Mgoyi
5. Mhe.
Ahmed Shabiby
6. Dk.
Maige Mwakasege Mwasimba
7. Shebe
Machumani
Uratibu Utalii
1. Dkt.
Khamis Kigwangala (Mwenyekiti)
2. Allan
Kijazi
3. Devotha
Mdachi
4. Mkurugenzi
Mtendaji wa Manispaa ya Temeke
5. Hoyce
Temu
6. Leah
Kihumbi (Mkurugenzi Sanaa)
7. Athuman
Jumanne Nyamlani
Itifaki
1. Kamishna
Mkuu wa Uhamiaji (Mwenyekiti)
2. Mndolwa
Yusuph
3. Filbert
Bayi
4. Mkurugenzi
Uwanja wa Ndege JNIA
5. Happiness
Luangisa
6. Alex
Makoye Nkenyenge
7. Alhaji
Idd Mshangama
Tiba na Udhibiti wa
Dawa za Kusisimua Misuli (Medical and Doping Control)
1. Prof.
Lawrence Museru (Mwenyekiti)
2. Dkt.
Paul Marealle
3. Dkt.
Edmund Ndalama
4. Dkt.
Christina Luambano
5. Daktari
Mkuu wa Hospitali ya Temeke
6. Hiiti
Sillo
Sheria na Taratibu
1. William
Erio (Mwenyekiti)
2. Dk.
Damas Ndumbaro
3. Edwin
Kidifu
4. Ally
Mayai
5. Khalid
Abeid
Ulinzi na Usalama
(Safety and Security)
1. IGP.
Simon Siro (Mwenyekiti)
2. Michael
Wambura
3. CP.
Andengenye – Zimamoto
4. CP.
Lazaro Mambosasa – Polisi Kanda ya Dar-es-Salaam
5. Mkuu wa
Askari wa Usalama Barabarani.
6. TISS
7. Jonas
Mahanga
Rasilimali Watu
(Human Resources)
1. Dk.
Francis Michael (Mwenyekiti)
2. Allan
Kijazi
3. Wane
Mkisi
4. Juliana
Yassoda
5. Gerald
Mwanilwa
Kamati hizo
ndogo zitakuwa chini ya Kamati Kuu inayoongozwa na Mwenyekiti Dk. Harrison
Mwakyembe (MP); Makamu Mwenyekiti wa Leodegar Tenga na Mtendaji Mkuu wa Kamati
hiyo ni Henry B. Tandau.
No comments:
Post a Comment