WACHEZAJI 35 wameitwa kwa ajili ya kuingia kambini Novemba 5 kutafuta
kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana waliochini ya miaka 23. 'Kilimanjaro Worriors'
Akizungumza
na wandishi wa habari jana, Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas alisema wachezaji
hao watakaa kambini kwa siku kumi.
"Timu
hii itakaa kambini kwa siku 10 na itafanyika mchujo kupata timu ya Taifa ya
Vijana U-23 itakayojiandaa na kutafuta kufuzu fainali za Afrika 2019,"
alisema Lucas
Wachezaji
walioitwa ni makipa Metacha Mnata wa Azam FC, Joseph Ilunda wa JKT Ruvu,
Liza Mwafwea wa Tanzania Prisons.
Wachezaji ni
Paul Lyungu, Idrissa Mohamed wa Majimaji, Cleotas Sospeter, Yusuph Mhilu,
Emanuel Martin, Geoffrey Mwashiuya wa Yanga, Yusuf Mpilipili wa Simba,
Joseph Prosper, Masoud Abdallah, Yahaya Zayd, Abbas Kapombe wa Azam FC, Bakari
Kijuji wa Tanzania Prisons, William Patrick wa Ruvu Shooting, Adam Salamba,
Stanley Angeso wa Stand United, Omary Mponda, Ayoub Masoud, Bakari
Majogoro wa Ndanda FC, Eliud Ambokire, Emanuel Kakuti, Madson Mwakatunde wa
Mbeya City, Daruweshi Saliboko wa Ashanti United, Ismail Aiden, Salum Kihimbwa
, Hassan Maganga wa Mtibwa Sugar, Awesu Ally wa Mwadui FC, Salum Chuku, Yusuph
Kagoma wa Singida United, Mohammed Habibu wa Miembeni ya Zanzibar, Faisal
Abdallah wa JkU ya Zanzibar, Agaton Mapunda wa Njombe Mji FC
No comments:
Post a Comment