Yanga
imeamua kuachana na kiungo mshambuliaji wake, Haruna Niyonzima baada ya
kutofikia makubaliano ya mkataba mpya.
Katibu wa Yanga Charles Mkwasa amesema wanaachana na Niyonzima vizuri tu baada ya mazungumzo baina yao kutofikia mwafaka wa mkataba mpya.
“Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba mpaka mwezi Julai na Yanga lakini hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao kwani hatukuweza kufikia muafaka katika mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu kuwa na nia ya kuendelea naye kwa misimu miwili ijayo,”alisema.

Juzi
Niyonzima alisema yuko kwenye mazungumzo na Yanga juu ya mkataba mpya na wakati
huo huo Simba nao wanamuhitaji.
Tangu jana kumekuwa na taarifa za Haruna kusaini Simba, ingawa yeye mwenyewe kila anapotafuta amekuwa hapatikani kwenye simu yake.
Niyonzima alijiunga na Yanga mwaka 2011, akitokea APR ya Rwanda aliyoanza kuichezea mwaka 2007 baada ya kujiunga nayo kutoka Rayon Sport iliyomsajili mwaka 2006 kutoka Etincelles iliyomuibua kisoka nchini humo.

No comments:
Post a Comment