Hiyo ikiwa
ni Dabi ya mwisho kuchezewa Uwanjani Vicente Calderon kwani Msimu ujao
Atletico wanahamia Uwanja mpya na Ronaldo ndie alikuwa mwiba akipiga
Hetitriki yake ya 39 katika Maisha yake ya Soka.
Ronaldo alifunga Bao la Kwanza Dakika ya 23 kwa Frikiki na Bao la Pili Dakika ya 71 kwa Penati na kumaliza la mwisho Dakika ya 77.Ushindi huo umewaweka Real Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili FC Barcelona ambao mapema Jana walitoka 0-0 na Malaga na pia kuwabwaga Atletico kuwa Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 9 nyuma ya Vinara Real.

No comments:
Post a Comment