Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, May 2, 2015

TENGA ATUNUKIWA CHETI CHA UKUFUNZI WA UKOCHA LEO

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wilfred Kidao, akifunga mafunzo ya wiki mbili ya ukufunzi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo

Wahitimu ya kozi ya makocha  wakufunzi wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kutunukiwa vyeti na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wilfred Kidao ( wa nne toka kushoto mstari wa kwanza)  kwenye Hostel za Shirikisho zilizipo Karume, Ilala  jijini Dar es Salaam leo

Waandishi wa Habari wakifuatilia hotuba


Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wilfred Kidao akimkabidhi cheti  kocha,George Komba baada ya kuhitimu mafunzo ya wiki mbili ya ukufunzi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wilfred Kidao akimkabidhi cheti  kocha, Dr. Mshindo Msolla baada ya kuhitimu mafunzo ya wiki mbili ya ukufunzi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wilfred Kidao akimkabidhi cheti  kocha Leodgar Tenga baada ya kuhitimu mafunzo ya wiki mbili ya ukufunzi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo.  Katikati ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi

No comments:

Post a Comment