KIPA WA JKT, JACKSON CHOVE AUAGA UKAPERA
Kipa wa JKT Ruvu, Jackson
Chove ameamua kuuacha ukapera baada ya kufunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake wa
siku nyingi.
Chove aliyewahi kuzidakia
Yanga na Azam FC ameamua kukata mzizi wa fitna kwa kumuoa Mariam Said.
Shughuli nzima ilifanyika Mabagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam na sasa Chove hayumo tena katika kundi hilo la makapera.
Kwa hisani ya Saleh blog

Post a Comment