• Home
  • About Us
  • Contact Us

LENZI YA MICHEZO

MICHEZO NA BURUDANI


  • Home
    • MICHEZO
    • KITAIFA
    • SOKA
    • KIMATAIFA
    Home / Unlabelled / EDDIE HOWE AWA MENEJA BORA ENGLAND

    EDDIE HOWE AWA MENEJA BORA ENGLAND

    Rahel Pallangyo Wednesday, May 27, 2015

    Kocha wa Bournemouth ya England Eddie Howe
    Kocha wa timu ya soka Bournemouth ya England Eddie Howe ametajwa kuwa meneja bora wa mwaka wa shirikisho la mameneja wa soka nchini Uingereza LMA.
    Kutajwa kwa meneja huyo kunakuja kufuatia kuiongoza kwa mafanikio klabu yake ambayo imeingia ligi kuu ya England kwa mara ya kwanza tokea ianzishwe zaidi ya miaka 100 iliyopita. Howe anakuwa kocha wa pili kutoka nje ya ligi kuu kushinda tuzo hiyo tangia mwaka 1992. "siamini kabisa, ni jambao nisilotarajia" alisema kocha huyo.

    Related Posts

    Post a Comment

    No comments

    Post a Comment

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    MPIGANAJI

    MPIGANAJI

    WATEMBELEAJI

    Blogu Marafiki

    • BBC News Swahili
      Marekani yaishambulia Iran kwa usiku wa saba mfululizo - Jeshi la Marekani limesema linazidisha mashambulizi ili kudhoofisha vikosi vya kijeshi vya Iran, huku Iran ikiripoti milipuko karibu na Mlango Bahari wa Ho...
      1 hour ago
    • CCM Blog
      EACOP WAFADHILI UPANDAJI MITI 20,000 'URBAN FOREST' DODOMA - WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameongoza shughuli ya upandaji wa takribani miti 7,000 katika eneo la Ndejengwa jijini Dodoma, ikiwa ni hatua ya k...
      15 hours ago
    • LENZI YA MICHEZO
      Coca-Cola yaisitisha uzalishaji - Kampuni ya Coca-Cola imetangaza kusitisha kwa muda uzalishaji wa bidhaa zake za maziwa za Fairlife nchini Marekani kufuatia shambulio la ransomware kat...
      19 hours ago
    • MICHUZI BLOG
      MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia - Na Mwandishi Wetu Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya "Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
      21 hours ago
    • Wazalendo 25 Blog
      Bridging the Gap: JAB to Partner with Bloggers Network on Training - *Tanzania Bloggers Network (TBN) Chairman Beda Msimbe (left) meets with the Journalism Accreditation Board’s Acting Director General, Advocate Patrick K...
      1 day ago
    • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
      POLISI TANZANIA YAREJEA LIGI KUU BAADA YA KUISHUSHA TANZANIA PRISONS - TIMU ya Polisi Tanzania imefanikiwa kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara licha ya kufungwa 1-0 na wenyeji, Tanzania Prisons bao la Neva Kapoma dakika ya...
      1 day ago
    • HABARI NA MATUKIO
      Vodacom yazindua mashindano ya golf kuimarisha uhusiano wa kibiashara Tanzania - *Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa Mashindano ya Golf ya ...
      1 day ago
    • MOBILA SAFARIS
      The Ultimate Serengeti Symphony: Hippos, Grunts, and a Guide Named Chacha - Imagine this: The sun is high over the Serengeti. You’re parked at the edge of the famous Hippo Pool, watching dozens of majestic, multi-ton hippos ...
      5 days ago
    • ZanziNews
      WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS - MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka jiwe la ms...
      3 months ago
    • HABARI MSETO BLOG
      -
    • WWW.BUKOBASPORTS.COM
      -
    Show 7 Show All

    TUFUATILIE

    • 200 Fans Like
    • 31,960 Followers Follow
    • 0 Fans Follow
    • 18 Subscribers Subscribe

    HABARI ZA MICHEZO PENDWA

    • ABEID AYEW PELE ATIMIZA  MIAKA 48 AKIWA KWENYE ZIARA  TANZANIA
      ABEID AYEW PELE ATIMIZA MIAKA 48 AKIWA KWENYE ZIARA TANZANIA
      Mchawi wa soka barani Afrika Abeid Ayew Pele leo amesheherekea siku yake ya kuzaliwa nchini Tanzania. Pele ambaye pia ni balozi wa he...
    •  BILIONI 200 ZA VIJANA: WADAU WATAJA SIRI YA KUFANIKIWA, WAONYA ‘MITEGO’ YA MIKOPO
      BILIONI 200 ZA VIJANA: WADAU WATAJA SIRI YA KUFANIKIWA, WAONYA ‘MITEGO’ YA MIKOPO
      Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO), Ahmmed Kitara, Wakati Serikali ikimwaga takribani Shilingi bilioni 200...
    •  Mvua ya Magoli na Vikapu, Ufundi na Uhodari Vyatawala Michezo ya Kombe la Mkuu wa Majeshi 2026
      Mvua ya Magoli na Vikapu, Ufundi na Uhodari Vyatawala Michezo ya Kombe la Mkuu wa Majeshi 2026
       Uwanja wa michezo umegeuka kuwa jukwaa la kuonyesha umahiri wa hali ya juu, huku timu za Jeshi zikionyesha soka safi na ushindani mkali wa ...
    •  Rais Samia Awataka mawakili kuwa nguzo ya mshikamano wa taifa
      Rais Samia Awataka mawakili kuwa nguzo ya mshikamano wa taifa
      Umoja, amani na mshikamano wa Tanzania unazidi kuimarika kupitia misingi thabiti ya utawala wa sheria na utetezi wa maslahi ya wananchi, ngu...
    • TAASISI YA IMF YAIDHINISHA TRILIONI 1.2 KWA TANZANIA KUENDELEZA MAPINDUZI YA KIUCHUMI
      TAASISI YA IMF YAIDHINISHA TRILIONI 1.2 KWA TANZANIA KUENDELEZA MAPINDUZI YA KIUCHUMI
      Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9, ambazo ni sawa na zaidi ya...
    •  Maridhiano na Mazungumzo ni Nguzo ya Amani na Umoja wa Kitaifa
      Maridhiano na Mazungumzo ni Nguzo ya Amani na Umoja wa Kitaifa
      Hakuna njia ya mkato ya kuleta amani isipokuwa mazungumzo, hayo yamesemwa na mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
    • UVCCM YAKEMEA VITENDO VYA UCHOCHEZI YAPONGEZA MARIDHIANO
      UVCCM YAKEMEA VITENDO VYA UCHOCHEZI YAPONGEZA MARIDHIANO
       Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) limepitisha maazimio matatu makubwa likiwemo la kumpongeza Rais Samia Suluhu H...
    •  UZINGATIAJI WA SHERIA NDIO MSINGI WA KULINDA HAKI ZA BINADAMU NA UTULIVU NCHINI
      UZINGATIAJI WA SHERIA NDIO MSINGI WA KULINDA HAKI ZA BINADAMU NA UTULIVU NCHINI
      Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imewataka wananchi kote nchini kuendelea kuheshimu sheria za nchi kwani kufanya hivyo ndio msingi m...
    •  Kilimo na Ufugaji: Fursa Muhimu kwa Vijana katika Uchumi wa Tanzania
      Kilimo na Ufugaji: Fursa Muhimu kwa Vijana katika Uchumi wa Tanzania
      Changamoto kubwa iliyopo si ukosefu wa fursa, bali ni namna ya kuzitumia kwa maarifa, teknolojia na mipango ya kibiashara ambapo kijana anay...
    •    RAIS SAMIA AMTEUA ASHA DACHI MBARUK KUWA MKURUGENZI MKUU WA TBC
      RAIS SAMIA AMTEUA ASHA DACHI MBARUK KUWA MKURUGENZI MKUU WA TBC
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bi. Asha Dachi Mbaruk kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ut...

    Wasomaji Kimataifa

    Flag Counter

    MAKTABA YA MICHEZO

    BURUDANI GOFU HABARI JEZI JUDO KIKAPU KUOGELEA MICHEZO MICHEZO KIMATAIFA MICHEZO KITAIFA NGUMI RIADHA SANAA SOKA TAFF TFF WALEMAVU WANAWAKE

    KUMBUKUMBU ZA MICHEZO

    MARAFIKI

    HABARI MCHANGANYIKO

    HABARI MPYA

    HABARI ZINASOMWA ZAIDI

    • RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      RATIBA NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA RAUNDI YA PILI, KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY KUCHEZWA KAITABA STADIUM JUMAMOSI, YANGA VS ASHANTI UNITE TAIFA
      Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi kwa mechi tano katika miji ya Bukob...
    • RATIBA LIGI KUU ENGLAND WIKIENDI HII NA MSIMAMO ULIVYO MPAKA SASA 2013/2014
      RATIBA Jumamosi 31 Agosti 14:45 - Manchester City v Hull City 17:00 - Cardiff City v Everton 17:00 - Newcastle United v Fulham 17:0...
    • HAWA NDIO MANCHESTER UNITED INAOWANYATIA KWENYE USAJILI LIGI KUU ENGLAND
      David Moyes is hoping for a more successful transfer window this time around Luke Shaw of Southampton ...

    Copyright (c) 2012 - 2025 LENZI YA MICHEZO All Right Reserved

    Designed by Gadiola Emanuel - 0784 643 633
    Template By TBN | Developed By Gadiola Emanuel