WORLD CUP 2014: GREECE 2 vs IVORY COAST 1
Bao la Ivory Coast lilifungwa na Bony Dakika ya 74 baada ya kazi nzuri ya mlisho wa mpira kutoka kwa Gervinho. Greece walipata bao lao la ushindi kwenye dakika za nyongeza kwa mkwaju wa penati likifungwa na Georgios Samaras baada ya mchezaji wa Ivory Coast Sio kumfanyia rafu kwenye eneo hatari machezaji wa Greece Samaras na kufanya bao kuwa 2-1 na Greece Greece wamefuzu kuingia Raundi ya Pili ya Mtoano ya Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil.Kwenye Raundi ya Pili, Greece wataivaa Costa Rica ina Ivory Coast wamefungasha virago ikiwa ni Fainali yao ya Tatu mfululizo ya Kombe la Dunia kutolewa hatua ya Makundi huku Kocha wao Sabri Lamouchi akitangaza kujiuzulu mara baada ya Mechi hii.
VIKOSI:
Greece: Karnezis, Torosidis, Papastathopoulos,
Manolas, Holebas, Christodoulopoulos, Maniatis, Karagounis,
Kone, Salpingidis, Samaras.
Subs: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis, Mitroglou, Vyntra, Gekas, Fetfatzidis, Katsouranis, Samaris, Tachtsidis, Kapino.
Ivory Coast: Barry, Aurier, Kolo Toure, Bamba, Boka, Die, Tiote, Kalou, Yaya Toure, Gervinho, Drogba.
Subs: Gbohouo, Viera, Zokora, Bolly, Akpa Akpro, Bony, Konan, Diomande, Gradel,
Djakpa, Sio, Sayouba.
Referee: Carlos Vera (Ecuador)

Post a Comment