Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, February 14, 2014

RATIBA YA FA CUP WIKIENDI HII..JUMAMOSI NI MANCHESTER CITY vS CHELSEA, JUMAPILI NI ARSENAL vS LIVERPOOL.

LIGI KUU ENGLAND Wikiendi hii itakuwa ‘mapumziko kidogo kupisha Mechi za Raundi ya Tano za FA CUP ambazo zitachezwa Jumamosi, Jumapili na Jumatatu.

Kubwa kwenye Mechi hizi za FA CUP ni zile Bigi Mechi mbili ambapo Jumamosi, huko Etihad, Manchester City wataikaribisha Chelsea huku wakikumbuka kufungwa na Chelsea Bao 1-0 Wiki iliyopita kwenye Mechi ya Ligi na Jumapili, ndani ya Emirates, Arsenal, watawaalika Liverpool ambao Jumamosi iliyopita waliinyuka Arsenal 5-1 huko Anfield kwenye Mechi ya Ligi.

Ni Kocha Yupi atalimwaga?? kati ya hawa!

FA CUP
Raundi ya Tano

RATIBA:
Jumamosi Februari 15

15:45 Sunderland v Southampton
18:00 Cardiff v Wigan
18:00 Sheff Wed v Charlton
20:15 Man City v Chelsea

Jumapili Februari 16
16:30 Everton v Swansea
18:00 Sheff Utd v Nottm Forest
19:00 Arsenal v Liverpool
Jumatatu Februari 17
2245 Brighton v Hull

No comments:

Post a Comment