Robin van Persie na Nemanja Vidic wakipata msosi mchana jana Dubai muda mfupi baada ya kufika salama na kupasha pasha viungo.
Mata amezungumzia Tripu yao ya Dubai ambayo wamewasili Jana: “Tutapumzika kidogo, kufanya Mazoezi ya pamoja na kujitayarisha kwa Msimu uliobaki.Tukirudi toka tripu hii bila shaka tutashinda Mechi nyingi.”
Ukiondoa UEFA CHAMPIONS LIGI, ambayo
wako Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na watacheza na Olympiacos kwa kuanza
nao Ugenini huko Ugiriki hapo Februari 25, Man United wapo kwenye
kinyang'anyiro cha Ligi Kuu England tu.
Akiongea kuhusu Klabu yake mpya, Mata amesema: “Ninafuraha kwenye Klabu, furaha kubwa tu. Nafurahia Soka langu, nacheza kila Mechi. Nipo kwenye Klabu kubwa mno sana na natumai tutamaliza Msimu vizuri.”
Aliongeza: “David De Gea amenisaidia kutulia, pamoja na Chicharito, Valencia na Rafael, wote wanaongea Kispanish lakini wote wamenisadia. Watu kama Giggs wapo hapa muda mrefu sana na yupo Rooney na van Persie, wote wamenichukulia vizuri mno!”

MSIMAMO WA LIGI KUU ULIVYO KWA SASA:
MECHI SITA ZIJAZO KWA UNITED:
February 22 Crystal Palace (A)February 25 Olympiacos (A)Champions League last 16, first leg
March 8 West Bromwich (A)
March 16 Liverpool (H)
March 19 Olympiacos (H)Champions League last 16, second leg
March 22 West Ham (A)
No comments:
Post a Comment