Steven Gerrard akishangilia bao lake la dakika za lala salama na kuipa ushindi Liverpool ugenini Fulham
Mapema Kolo alijifunga na kuwapa zawadi ya bao Fulham
Kolo Toure akijimaliza mwenyewe.
Kolo Toure akibabaika baada ya kujifunga bao!!!
Kolo Toure....akijiuliza!! ni yeye au??
Lewis Holtby akilishangilia bao hilo
Mwamuzi..Mark Halsey chini!!!!
Daniel Sturridge akishangilia bao lake baada ya kusawazisha
Asante!!!
No comments:
Post a Comment