JUAN MATA ATETEA MAN U KWA KIPIGO KUTOKA KWA STOKE CITY, ASEMA WATAIRUDISHA TIMU KWENYE CHATI
Juzi
Man United walikikwaa kipigo cha 8 kwenye Ligi Kuu England walipofungwa
2-1 na Stoke City huku Robin van Persie, Wayne Rooney na Mata wakianza
Mechi ya kwanza pamoja kwa mara ya kwanza. 
Post a Comment