KOCHA WA ARSENAL WENGER ADAI CHELSEA KUMUUZA JUAN MATA KWA MAN UNITED ‘SI HAKI!’
Inatarajiwa leo hii Mata atakamilisha Uhamisho wake baada kupimwa Afya yake na kusaini Mkataba wa Miaka 4 ½ kwa Dau la Pauni Milioni 37. Lakini Wenger ameibuka na kusema haikuwa haki kwa Chelsea kumuuza Mata kwa Man United hasa kwa vile Klabu hizo mbili zimeshakutana mara mbili kwenye Ligi Kuu England na kumaliza Mechi kati yao Msimu huu.
Post a Comment