Luis Suarez ameipandisha Liverpool hadi
kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kufunga Bao 2 katika ushindi wao
wa Bao 3-1 dhidi ya Cardiff City ambayo imekumbwa na mgogoro mkubwa kati
ya Meneja wake Malky Mackay na Mmiliki wake Vincent Tan kutoka
Malaysia.
Bao jingine la Liverpool lilifungwa na Raheem Sterling baada ya kutengenezewa na Suarez.

Mambo magumu kwa kocha wa Cardiff Malky Mackay

Ushindi
huu umewafanya Liverpool wakamate usukani wa Ligi wakiwa Pointi 1 mbele
ya waliokuwa Vinara Arsenal ambao wana Mechi moja mkononi watakayocheza
Uwanjani kwao Emirates Jumatatu Usiku na Chelsea.

Vincent Tan

Glen Johnson kwenye patashika kuutafuta mpira

Mackay akitoa maelekezo kwa timu yake mbele ya mashabiki

Philippe Coutinho akifanya mambo yake

Luis Suarez akionesha kiwango chake hapa

Chezea Suarez wewe!

Majanga....Suarez akishangilia baada ya kuiua Cardiff

Suarez akituma salaam kwa mashabiki

Mackay kazi unayoooo!!


Raheem Sterling akifanya 2-0

mpaka nyavuni...

Muda mbona unakimbia sana...

Wauaji leo!!

Kidogo leo nitupie Hat-trick..

Kimenuka!!

Rafiki yangu mambo vipi!!!


Sterling chini...

Kibarua kisipoota majani leo sijuhi...

Raha sina leo ...mashabiki nao ndio hivyooo!!!
Post a Comment