Luis Suarez, leo ameifungia timu yake
Liverpool Bao 2 walipoibonda Tottenham waliokuwa kwao White Hart Lane
Bao 5-0 na kukamata nafasi ya Pili ya Ligi Kuu England wakiwa Pointi 2
tu nyuma ya Vinara Arsenal.Wakiwa
Bao 2 nyuma, Kiungo wa Tottenham, Paulinho, alipewa Kadi Nyekundu kwa
kuinua Mguu juu uliompiga Suarez kifuani na hali hiyo ilitoa mwanya kwa
Liverpool kufunga Bao nyingine 3.
Bao za Liverpool zilifungwa na Suarez, Dakika ya 18 na 84, Henderson, Dakika ya 40, Flanagan, Dakika ya 75 na Raheem Sterling, Dakika ya 89.
Ushindi huu umewafanya Liverpool wawe na Pointi 33, sawa na Chelsea, lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli wakati Arsenal wako kileleni wakiwa na Pointi 35 huku Timu zote zikiwa zimecheza Mechi 16.
Tottenham, ambao walifanya usajili wa gharama kubwa mno unaofanana na Man City, sasa wapo Nafasi ya 7 na wamekuwa wakipata matokeo yasiyoridhisha hali ambayo inazidisha presha kwa Meneja wao Andre Villas-Boas.
Patashika za Suarez
Subs: Lamela, Defoe, Sigurdsson, Friedel.
Yellow: Walker, Dawson, Holtby
Red: Paulinho
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Sakho, Flanagan, Lucas (Luis Alberto 79), Allen, Henderson, Coutinho (Moses 90), Sterling, Suarez.
Subs: Brad Jones, Toure, Agger, Alberto, Aspas, Kelly.
Goals: Suarez 18, Henderson 40, Flanagan 75, Suarez 84, Sterling 89
Referee: Jon Moss (W Yorkshire)
Attendance: 36,069
MSIMAMO WA TIMU 10 ZA JUU ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI ZA LEO
Bao za Liverpool zilifungwa na Suarez, Dakika ya 18 na 84, Henderson, Dakika ya 40, Flanagan, Dakika ya 75 na Raheem Sterling, Dakika ya 89.
Ushindi huu umewafanya Liverpool wawe na Pointi 33, sawa na Chelsea, lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli wakati Arsenal wako kileleni wakiwa na Pointi 35 huku Timu zote zikiwa zimecheza Mechi 16.
Tottenham, ambao walifanya usajili wa gharama kubwa mno unaofanana na Man City, sasa wapo Nafasi ya 7 na wamekuwa wakipata matokeo yasiyoridhisha hali ambayo inazidisha presha kwa Meneja wao Andre Villas-Boas.
Patashika za Suarez
Jordan Henderson akishangilia baada ya kufunga bao lake ugenini kwenye uwanja wa wa White Hart Lane
Kyle Walker akijificha uso baada ya timu yao kunyukwa mabao
Wachezaji wa Liverpool wakipongezana na kumpongeza Jon Flanagan baada ya kuwafungia bao safi
Mwamuzi Jon Moss akimtoa kwa kadi nyekundu Paulinho baada ya kumkanyaga Suarez
Mwamuzi Jon Moss hakufanya makosa...haraka alimtoa Brazil huyo nje kwa rafu mbaya
Paulinho na rafu zake kifuani kwa Suarez
Suarez akifurahia moja ya bao zake
VIKOSI:
Tottenham: Lloris, Walker,
Capoue, Dawson, Naughton (Fryers 45), Sandro (Holtby 30), Dembele
(Townsend 61), Lennon, Paulinho, Chadli, Soldado. Subs: Lamela, Defoe, Sigurdsson, Friedel.
Yellow: Walker, Dawson, Holtby
Red: Paulinho
Subs: Brad Jones, Toure, Agger, Alberto, Aspas, Kelly.
Goals: Suarez 18, Henderson 40, Flanagan 75, Suarez 84, Sterling 89
Referee: Jon Moss (W Yorkshire)
Attendance: 36,069
MSIMAMO WA TIMU 10 ZA JUU ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI ZA LEO
2013-2014 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
1 | Arsenal | 16 | 11 | 2 | 3 | 33 | 17 | 6 | 1 | 1 | 16 | 6 | 5 | 1 | 2 | 17 | 11 | 16 | 35 | ||||
2 | Liverpool | 16 | 10 | 3 | 3 | 39 | 18 | 7 | 0 | 1 | 22 | 5 | 3 | 3 | 2 | 17 | 13 | 21 | 33 | ||||
3 | Chelsea | 16 | 10 | 3 | 3 | 32 | 18 | 7 | 1 | 0 | 19 | 7 | 3 | 2 | 3 | 13 | 11 | 14 | 33 | ||||
4 | Manchester City | 16 | 10 | 2 | 4 | 47 | 18 | 8 | 0 | 0 | 35 | 5 | 2 | 2 | 4 | 12 | 13 | 29 | 32 | ||||
5 | Everton | 16 | 8 | 7 | 1 | 27 | 15 | 5 | 3 | 0 | 17 | 7 | 3 | 4 | 1 | 10 | 8 | 12 | 31 | ||||
6 | Newcastle United | 16 | 8 | 3 | 5 | 21 | 22 | 4 | 3 | 1 | 12 | 8 | 4 | 0 | 4 | 9 | 14 | -1 | 27 | ||||
7 | Tottenham Hotspur | 16 | 8 | 3 | 5 | 15 | 21 | 3 | 2 | 3 | 7 | 12 | 5 | 1 | 2 | 8 | 9 | -6 | 27 | ||||
8 | Manchester United | 16 | 7 | 4 | 5 | 25 | 19 | 3 | 2 | 3 | 8 | 7 | 4 | 2 | 2 | 17 | 12 | 6 | 25 | ||||
9 | Southampton | 16 | 6 | 6 | 4 | 20 | 15 | 4 | 3 | 1 | 14 | 6 | 2 | 3 | 3 | 6 | 9 | 5 | 24 | ||||
10 | Swansea City | 16 | 5 | 5 | 6 | 22 | 21 | 2 | 4 | 2 | 15 | 12 | 3 | 1 | 4 | 7 | 9 | 1 | 20 |
No comments:
Post a Comment