![]() |
Kutoka kulia Mbwana Samatta, Salum Abubakar na Ramadhani Singano. Nyuma ni Mkuu wa Msafara Ahmed Mgoyi |
![]() |
Hana raha; Kocha Mkuu, Mdenmark Kim Poulsen akiwa JNIA baada ya kuwasili |
![]() |
Wachezaji wakisubiri kukamilisha taratibu za Uhamiaji |
![]() |
Mrisho Ngassa akifanyiwa taratibu za Uhamiaji |
![]() |
Wanashuka kwenye 'pipa' |
![]() |
Mwandishi nguli wa Habari Tanzania, Jenerali Twaha Ulimwengu alikuwa katika ndege moja na Stars, alipandia Kigali, Rwanda |
No comments:
Post a Comment