Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, November 22, 2013

URUGUAY YAKAMILISHA IDADI YA MATAIFA YA KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Uruay imekuwa ndio taifa la mwisho kukamilisha nafasi ya kucheza kombe la dunia 2014 nchini Brazil baada ya kwenda suluhu 0-0 katika mchezo wa pili wa marudiano wa mtoano dhidi ya Jordan.
Uruguay ilikuwa katika nafasi nzuri zaidi hata kabla ya mchezo huo wa jana kufuatia matokeo mazuri ya mchezo wa mkondo wa kwanza ya ushindi wa mabao 5-0.
"tunafuraha wote kwasababu ukweli ni kwamba ilikuwa ni safari ndefu" amesema mshambuliaji Edinson Cavani.

TIMU ZILIZOFUZU

 Africa: Algeria, Cameroon, Ghana, Ivory Coast, Nigeria 
 Asia: Australia, Iran, Japan, South Korea 
 Europe: Belgium, Bosnia-Hercegovina, Croatia, England, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Portugal, Russia, Switzerland, Spain 
 North & Central America & Caribbean: Costa Rica, Honduras, Mexico, United States 
 South America: Argentina, Brazil (hosts), Colombia, Ecuador, Chile, Uruguay.
Taifa hilo kutoka Amerika ya kusini kwasasa liko katika nafasi ya sita kwa ubora wa viwango vya FIFA na inakumbukumbu ya kutwaa taji miaka ya 1930 na 1950 and na kufanikiwa kufika nufu fainali mwaka 2000 nchini Afrika kusini.

Kikosi cha kocha Oscar Tabarez kilimaliza katika nafasi ya tano katika vita ya kufuzu kutoka katika mabara na kushindwa na Ecuador kwa tofauti ya mabao ya kufungwa na kufunga

No comments:

Post a Comment