Taswira ya uwanja wa Wembley wakati England walipoikaribisha Germany.
England imepata vipigo viwili mfululizo Uwanjani kwao Wembley baada kuchapwa Bao 1-0 na Germany Usiku huu na kipigo hiki kinafuatia kile cha Ijumaa walipopigwa 2-0 na Chile. Bao la kichwa cha Per Mertesacker, Sentahafu wa Arsenal, kwenye Dakika ya 39 liliwaua England Bao 1-0.
Ijumaa, England, pia wakicheza Wembley, walipigwa 2-0 na Chile huku Bao zote mbili zikifungwa na Alexis Sanchez ambae ni Mchezaji wa Barcelona.
Mario Goetze akikabwa na Adam Lallana pamoja na Tom Cleverleykulia.
Nao Germany walikaba vilivyo baada ya kuona swala ni ukabaji tu!!
Kocha wa Germany Joachim Loew
Lars Bender na Andros Townsend wakichuana kuugombea mpira
Kipa Joe Hart akifungwa kwa kichwa na Per Mertesacker
Bao la Per Mertesacker likizama nyavuni.
Per Mertesacker ndie aliwaua England.
Per Mertesacker akishuhudia bao lake nyavuni
Hoi!!
Per Mertesacker kushoto akishangilia baada ya kufunga bao lake
Kipa wa Germany Roman Weidenfeller akiokoa mapande ya washambuliaji wa England!
Kipa Joe Hart na Chris Smalling wakiutafuta mpira
Juhudi za mshambuliaji wa Man United Wayne Rooney hazikufua dafu!!
Daniel Sturridge hoi!!
Ijumaa, England, pia wakicheza Wembley, walipigwa 2-0 na Chile huku Bao zote mbili zikifungwa na Alexis Sanchez ambae ni Mchezaji wa Barcelona.
Bao la Per Mertesacker likizama nyavuni.
Per Mertesacker ndie aliwaua England.
Per Mertesacker akishuhudia bao lake nyavuni
No comments:
Post a Comment