Tottenham wakiwa ugenini nchini Moldova kucheza na Sheriff Tiraspol, Dakika ya 12 Jan Vertonghen ametupia bao la kichwa na kuipa nafasi nzuri Spurs kwenye kipindi cha kwanza na kumalizika kwa dakika 45 Spurs wakiwa juu ya bao hilo la Kapteini Jan Vertonghen. Licha ya wenyeji kufunga bao dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza mwamuzi wa pembeni alidai bao hilo la kuotea la Sheriff Tiraspol. Kipindi cha pili dakika ya 75 Jermain Defoe akawapatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Sheriff Tiraspol.
Friday, October 25, 2013
TOTTENHAM HOTSPURS YAIFUNGA SHERIFF TIRASPOL 2-0 EUROPA LEAGUE
Tottenham wakiwa ugenini nchini Moldova kucheza na Sheriff Tiraspol, Dakika ya 12 Jan Vertonghen ametupia bao la kichwa na kuipa nafasi nzuri Spurs kwenye kipindi cha kwanza na kumalizika kwa dakika 45 Spurs wakiwa juu ya bao hilo la Kapteini Jan Vertonghen. Licha ya wenyeji kufunga bao dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza mwamuzi wa pembeni alidai bao hilo la kuotea la Sheriff Tiraspol. Kipindi cha pili dakika ya 75 Jermain Defoe akawapatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Sheriff Tiraspol.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment