MARASTA FARI WALIVYOPAMBA TAMASHA LA TUPO WANGAPI

Ras
Aluta Christopher Warioba akiongea na waandishi wa habari kwenye
kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya
BASATA

Ras Inocent akiongea neno kwenye kongamano la wasanii wa Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA

Ras Ton akizungumza na vyombo vya habari wakati wa kongamano la Reggea lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA

Ras Baraka akiwa kwenye stage akifanya maandalizi ya kuonesha burudani kwa wapenzi wa Reggea

Ras Inocent akitoa burudani kwenye kongamano hilo.

Hata wakina mama nao walikuwepo

Hapa ni kuruka wa burudani

Mama huyu alishindwa kuvumilia music wa Reggea akaanza kucheza kwenye mvua

Dabo
akitoa burudani wakati mvua inanyesha yaani mzuka kulikuwa hakuna
kusitisha furaha kwa wapenzi wa Reggea wwaliokuwa kwenye tamasha ilo

Ni burudani tu hakuna kusubilia mvua ikatike

Ras Ikabonnga Katondo akiwa na Ras Anord Kalikawe kwenye kongamano lililofanyika leo kwenye viwanja vya BASATA

2013/9/8 Geofrey Adroph
CODE

Wafanyakazi
wa Tulizana wakiwaamasisha wananchi waliofika kwenye viwanja vya
Leaders Clubs kupima Virus vya Ukimwi na pia kutoa elimu ya maambukizi
ya Virus hivyo

Mmoja
wa wafanyakazi akimweleza jambo kwa umakini kijana aliyekuja kupima
ili aweze kutoka kwenye mtandao wa ngono kwenye viwanja vya Leaders Club

Mmoja wa wananchi waliochangia damu kwenye tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" kwenye viwanja vya Leades Clubs jana mchana

Mfanyakazi
wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Dume kwa
vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana"

Baadhi
ya wafanyakazi wakiwa wamepumzika baada ya kazi ngumu ya kuelimisha
jamii juu ya kuachana na mtandao wa mapenzi ambao unaweza kusababisha
maambukizi ya vurus vya UKUMWI wakati wa Tamasha la "Tuko wangapi?
Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club

Mfanyakazi
wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Salama kwa
vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana"
lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Upimaji wa Afya ukiendelea

Post a Comment